Enjoy Lyrics – Jux ft Diamond Platnumz
A Harmonious Confluence of Stars: Jux and Diamond Platnumz Unite in the Captivating “Enjoy” LyricsA Harmonious Confluence of Stars: Jux and Diamond Platnumz Unite in the Captivating “Enjoy” Lyrics.
Jux and Diamond Platnumz, join forces in the enchanting track, “Enjoy.” With their magnetic voices and electrifying presence, these talented artists create a harmonious confluence of sounds that resonates with the hearts of listeners. “Enjoy” is a celebration of life, love, and the joyous moments that make it all worthwhile.
Contents
Jux Ft Diamond Platnumz – Enjoy (Official Audio)
Enjoy ft. Diamond Platnumz – Jux
…
Mi leo acha tu niwaweke wazi
Mbaki na mishangao
Kuhusu aya mapenzi nataka kuyaeleza
Na leoo tena waiteni paparazi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi nataka jipongeza
Unaemwita your baby kumbe nae ana baby
Unaemuona kipenzi ni mshenzi hakupendi
Amakweli mtihan mambo mengi dunian
Nami stress siwezi ooh siwezi
Bora nienjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora nienjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Kama kupenda bora nimpende mama yanguu
Kama kupendwa mimi nitajipenda peke yanguu
Ooh kilichomponza ufalaa
Kujiona simba kumbe swalaa
Kazama kwenye penzi uchwalaa
Badala kusaka miamala
Aiyoo! toka ndate pesa (eeh)
Sasa napendeza (eeh)
Natena naenjoy (eeh)
Na wanangu kwa homeboy (eeh)
Ooh Na account inasoma (eeh)
Na kamwili kananona (eeh)
We mwenyewe si unaona yanii
Aiih nasema boraa (Bora nienjoy)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora nienjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Jiunge na mimi
Napenda nikilewa nipande juu ya meza
Nichocho natema kingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza za za
Kiiruuuuuuu
Bora nienjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo.
Subscribe and Share: Stay connected with the latest song lyrics and recommendations by subscribing to our newsletter. Share your thoughts in the comments section.